Download

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) About

Editors' rating
     
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Specifications
Version:
5.6.1
Date added:
Oct. 21, 2020
Date released:
Nov. 4, 2019
Price:
Free
Operating system:
Android,
Downloads last week:
203
Additional Requirements
Requires Android 4.0 and up

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) v5.6.1

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya...

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Screenshots


Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Editor's review

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.


Download






Similar Suggested Software

Holy bible verse--best bible app 100% free, download now.

See How You Eat - Your easiest food diary ever.