Descarga

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Acerca de

Nota del editor
     
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Especificaciones
Version:
5.6.1
Fecha de creación:
21 de Octubre de 2020
Fecha en libertad:
4 de Noviembre de 2019
Precio:
Free
Sistema operativo:
Android,
Descargas de la semana pasada:
203
Requisitos adicionales
Requiere Android 4.0 y superio

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) v5.6.1

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Biblia Swahili) Agano la Kale na Jipya ..

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Imágenes


Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Nota del editor

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.


Descarga






Similar Suggested Software

inappv2 prueba

Calendario menstrual BELLA ..

La mejor aplicación de serie de pruebas en línea para la fuerza aérea, la marina, la NDA, CDS, AFCAT, el ejército y todos los exámenes de defensa de la Academia de Carreras de Defensa Nacional de Jaipur

Calendario Menstrual, la Mejor App para calcular tu Ciclo Menstrual