Editors 'rating |
|||||||
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Specifikationer
|
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya ..
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
Quran Majeed 406 |
JW Library 377 |
VPN 261 |
Quran Translation Afaan Oromo mp3 232 |
Holy Bible (Multi Version) 232 |
Secrets Of The Millionaire Mind PDF 232 |
Islam 360 232 |
Holy Bible (NKJV) 203 |
Collins Latin Dictionary (Android) 203 |
NIV Bible 203 |