編集者の評価 |
|||||||
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) 仕様
|
Biblia Takatifu ya Kiswahili(スワヒリ語聖書)Agano la Kale na Jipya .. .
Biblia Takatifu ya Kiswahili(スワヒリ語聖書)Agano la Kale na Jipya
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu yaUkristo。 Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu、inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu"。
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia"、hasa katika matoleo ya Biblia yaKiebrania。 Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano laKale"。
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na AganoJipya。 Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baadayake。