Indirin

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Hakkında

Editörün değerlendirmesi
     
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Özellikler
Sürüm:
5.6.1
Tarih ekledi:
21 Ekim 2020
Tarih yayınladı:
04 Kasım 2019
Fiyat:
Free
İşletim sistemi:
Android,
Dosyalar son hafta:
203
Ek Gereksinimler
Android 4.0 ve üstü gerektiri

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) v5.6.1

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili İncil) Agano la Kale na Jipya ..

Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Ekran


Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Editörün değerlendirmesi

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili İncil) Agano la Kale na Jipya

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.


Indirin






Similar Suggested Software

100 Videolar Çocuk Tekerlemeler Tek bir uygulamada Ücretsiz .