Cijfer redacteuren |
|||||||
Biblia Takatifu - Swahili Bible (Kiswahili) Specificaties
|
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bijbel) Agano la Kale na Jipya ..
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bijbel) Agano la Kale na Jipya
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tenach ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
JW Library 957 |
Quran Majeed 377 |
Lithium: EPUB Reader 232 |
Chm Reader X 232 |
Guide For Onlyfans 232 |
Bible Help App 232 |
Kamus Pro 2012 (Beta) 232 |
OnlyFans App Tips 232 |
Good News Bible 232 |
Text The Romance Back 203 |